Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (Kulia) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine anayeshuhudia ni Edina Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel Tanzania.
Mteja wa Airtel (kushoto) akifurahi baada ya kukabidhiwa ua na maafisa wakuu wa huduma kwa wateja pale alipotembea duka la Airtel lililopo Mlimani City Dar es Saalam, kulia ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba.…
Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba (Kulia) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine anayeshuhudia ni Edina Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel Tanzania.
Mteja wa Airtel (kushoto) akifurahi baada ya kukabidhiwa ua na maafisa wakuu wa huduma kwa wateja pale alipotembea duka la Airtel lililopo Mlimani City Dar es Saalam, kulia ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba.
Meneja huduma kwa wateja Godfrey Kavishe (kulia) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Mlima City Dar es Saalam ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine anayeshuhudia (wa pili kulia) ni Edina Mlay Afisa Msimamizi huduma kwa wateja Airtel akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi Adriana Lyamba.
Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel wakiwa katika picha ya pamoja na wateja waliotembeleaa maduka ya Airtel na kuzawadiwa ua ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine.
Mwakilishi wa huduma kwa wateja (kushoto ) akikabidhi zawadi ya ua kwa mteja aliyetembelea duka la Airtel lililopo Makao Makuu ya Airtel Morocco ikiwa ni katika kuonyesha upendo kwa wateja katika siku hii maalumu ya valentine.
Source: Global Publishers
No comments:
Post a Comment
Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.