Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Saturday, February 25, 2012

KIKWETE AWASILI BOTSWANA. Rais  Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete akiwasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, leo February 24, 2012 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia athudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Democratic Party. hapo uwanjani amepokelewa na Rais wa Botswana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama., ikiwa ni pamoja na ngoma ya makhirikhiri pamoja na wakaazi wa Bostwana kumlaki kwa shangwe na kukagua gwaride.
 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.