Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, February 26, 2012

WAZIRI MKUU ZIARANI MKOANI SHINYANGA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua banda la ngombe wanaofugwa kisasa wa familia ya Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege katika jimbo la Uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012;(Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amempakata mtoto Raphael Mihayo (2) wakati alipokagua mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa kwenye familia ya Mzee Raphael Masanja katika kijiji cha Nyamigege wilayai Kahama akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Msanii Toogwa Madilisha wa Kijiji cha Chela katika jimbo la uchaguzi la Msalala wilayani Kahama akicheza ngoma ya pachanga wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipohutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga, Februari 25, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.