Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Saturday, February 25, 2012

Dk Slaa Ahudhuria Maulid


KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod
Slaa akizungumza katika maulidi ya harusi ya mkazi mmoja wa mtaa wa Togo,
Kinondoni, Dar es Salaam jana. Maulidi hiyo ilikuwa ikifanyika karibu na
eneo ambalo kiongozi huyo alifika kwa ajili ya kufungua Ofisi za Baraza la
Vijana la CHADEMA (BAVICHA), ambapo mbali ya kupata fursa ya kutoa salaam
za heri kwa maharusi, yeye pamoja na viongozi wa chama hicho alioandamana
nao katika msafara wake walitoa sadaka .
SOURCE CHADEMA+ Lukwangule blog

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.