Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Saturday, February 25, 2012

AJALI MBAYA YA TREIN NCHINI ARGENTINA,WATU 49 WAFARIKI NA WENGINE ZAIDI YA 500 WAJERUHIWA VIBAYA

Waokoaji wakiendelea kuchomoa watu walionasa kwenye baadhi ya mabehewa.
Baadhi ya majeruhi waliokolewa wakisubiri kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi
Mmoja wa abiria akichomoka ili kujinusuru katika ajali ya trein.
Majeruhi wakikimbizwa ndani ya helcopter ili kuwahishwa hospitalini kwa matibabu zaidi.
Hali sio nzuri kwa baadhi ya abiria,pichani waokoaji wakiwakimbiza majeruhi hospitalini.

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.