Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Saturday, February 25, 2012

SEMINA YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA MOROGORO KUHUSU VITAMBULISHO


Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wanne kutoka kuliawaliokaa ) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro (wa kwanza aliyekaa) ni Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA),Joseph Makani na ( kulia aliyekaa ) ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro ( MORO PC),Aziz Msuya.

Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA),Joseph Makani ( wapili kushoto aliyesimama) akisoma hotuba yake Februari 25, mwaka huu mbele ya Mgeni rasmi wa ufunguzi wa semeina ya kutoa elimu kwa Wanadishi wa Habari wa Morogoro juu ya shughuli za NIDA na ( wapili kutoka kulia ) ni Mkuu wa Morogoro, Joel Bendera , na ( wa kwanza kulia) ni Ofisa Habari Mkuu wa NIDA, Thomas William na ( wa kwanza kushtoto) ni Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Morogoro ( MORO PC), Aziz Msuya.

Mkuu wa Morogoro, Joel Bendera ( aliyesimama), akisoma hotuba yake Februari 25, mwaka huu ya ufunguzi wa semina kwa Waandishi wa Habari Morogoro juu ya shughuli za NIDA ( kushoto ) ni Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA),Joseph Makani na ( kulia) ni Ofisa Habari Mkuu wa NIDA, Thomas William.

Baadhi ya Waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro, wakifuatilia kwa makini na wengine wakianukuu vidokezo muhimu wakati Mkuu wa Mkoa wa Morogoro , Joel Bendera ( hayupo pichani), Februari 25, mwaka huu, Mjini hapa. 

Chanzo: Lukwanguleblog

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.