Naibu Katibu mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesisitiza ulazima mkubwa wa kujengwa viwanda vya Tumbaku Tabora na kulaani vikali vitendo vya polisi kunyanyasa raia na kuwanyang'anya raia mifugo yao.Nae Magdalena Sakaya ameponda sana shule za kata ambapo kuna wanafunzi Tabora wanakaa chini. Ziara ilianzia wilaya ya Igunga, Urambo, Kaliua, Sikonge na inaendealea wilaya zingine za mkoa wa Tabora.Ona baadhi ya picha
Jisikie huru kabisa kuchangia lolote linalohusiana na jamii, uchumi, siasa, imani na elimu katika Blog yetu. Tunakaribisha habari, taarifa, picha za matukio, maoni na ushauri ili kuwekana sawa katika dunia yetu hii ndogo. Wote mnakaribishwa katika kuimarisha mshikamano wa kuleta mabadiliko ya kweli nchini mwetu!!
Pages
Forums
- Critical Analysis (11)
- Education Issues (15)
- Geology and Mining (21)
- International News (37)
- National News (147)
- Political Issues (67)
- Religious Issues (28)
- Social Issues (79)
- Sports (19)
Sunday, February 26, 2012
CUF WAJIKONGOJA TABORA,-Mtatiro na Sakaya walonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.