Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Monday, February 27, 2012

JK Arejea Nchini Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Meck Said Meck Sadick wakati alipowasiri nchini jana akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete awa katika mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Meck Said Meck Sadick wakati alipowasiri nchini jana akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Viongozi Mbali mbali wa Serikali waliofika kumpokea Rais Kikwete jana.
  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi wa Botswana wakati akindoka nchini humo kurejea jijini Dar es Salaam jana.Kushoto kwake ni Mwenyeji wake,Rais wa Botswana,Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama.


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu,Mh. Stephen Wassira wakati alipowasiri nchini jana akitokea nchini Botswana alikohudhuria Sherehe za Miaka 50 ya kuzaliwa kwa Chama Tawala cha nchi hiyo.Wengine Pichani ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe (wa pili kushoto),Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaa,Suleiman Kova (kushoto).
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.