Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Tuesday, February 21, 2012

Mtoto Wa Marehemu Sumari Kumrithi Baba Yake?


Mchakato wa uchaguzi ndani ya chama cha mapinduzi umemalizika na Matokeo Arumeru Siou Sumari 361 Sarakikya 259 Elilehema Kaaya 205

Elishilia Kaaya 176 Anthony Musami 22 na Ndg Urio 11

1 comment:

  1. mtoto ameamua kumsogeza dingi ili achukue achukue nafasi. Hii ni kwa sababu, wana uhusiano na mmoja kati ya mafisadi papa. yawezekani ni papa mkuu ndo kamwambi achukue fomu ili waongeze mtandao wao.

    Kiroboto anayechukia ufisadi.

    ReplyDelete

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.