Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, January 22, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AHUDHURIA MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA NA KUTEMBELEA KARAKANA ,MAABARA NA MIRADI YA CHUO

 Mgeni rasmi katika Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Ufundi Arusha, Waziri mkuu Mzengo Pinda akizungumza na wahitimu wa, wageni waalikwa na wanajumuia wa Chuo cha Ufundi
 Mkiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akitoa hotuba fupi katika mahafali ya Tatu ya ATC


Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Mhandisi Dkt. Richard Masika alitoa Hotuba yake katika mahafali ya Tatu ya chuo hicho
 Waziri Mkuu , mhe. Mizengo Pinda(katikati) akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Maabaraya Ujenzi na Umwagiliaji la Chuo cha ufundi Arusha kabla ya kuwatunuku stashahada mbalimbali za ufundi wahitimu 231 wa chuo cha ATC.

Dkt. Nuru Mizary alitoa maelezo mafupi kuhusu maabara ya upimaji wa maji kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda alipotembelea maabara hiyo labla ya kutunukisha stashahada mbalimbali kwa wahitimu 231 wa chuo hicho    (na Gasto Leseiyo)   

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.