Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, January 18, 2012

MISA YA MAZISHI YA MAREHEMU REGIA MTEMA YAFANYIKA IFAKARA LEO

Misa Maalum ya Mazishi ya kumwombea aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Marehemu Regia Mtema ikiendelea Ifakara Morogoro leo mchana, muda mfupi kabla ya mazishi.


Naibu Spika, Job Ngugai (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Kiongozi wa Kambi ya Upinzania na Mbunge wa Hai, Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zitto Kabwe wakifuatilia kwa makini Misa Maalum ya Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Marehemu Regia Mtema Ifakara leo.…

Misa Maalum ya Mazishi ya kumwombea aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Marehemu Regia Mtema ikiendelea Ifakara Morogoro leo mchana, muda mfupi kabla ya mazishi.

Naibu Spika, Job Ngugai (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Kiongozi wa Kambi ya Upinzania na Mbunge wa Hai, Mheshimiwa Freeman Mbowe pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mheshimiwa Zitto Kabwe wakifuatilia kwa makini Misa Maalum ya Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Marehemu Regia Mtema Ifakara leo.

Sehemu ya umati mkubwa wa waombolezaji wakifuatilia kwa ukaribu Misa Maalum ya Mazishi ya liyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Marehemu Regia Mtema Ifakara Morogoro leo. 

Picha kwa hisani ya HAKINGOWI.COM

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.