Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, January 22, 2012

rsenal 1 Manchester United 2: Valencia and Welbeck keep up the pressure on City


Wewe kipa wa Arsenal wewe usimuige Tembo ukachanika msamba bureee hiyo hufuati hata ufanyaje kijana.Manchester United wakiandika bao la kwanza kupitia kichwa safi kilichopigwa na kijana mwenye jezi ya bluu Valencia.
Mpira ni moja ya vita za michezoni,hapo kama unavyojionea mchezaji wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain akijaribu kumpita mchezaji wa Manchester United dogo Rafael.
Mchezaji wa Arsenal Robin van Persie akionyesha fulana yake ikiwa na ujumbe maalumu kwa babu yake ambaye ametimiza miaka 91 toka kuzaliwa kwake,hapo anaonyesha kama kusema Happy Birthday babu kwa kutimiza miaka 91.
Hawa jamaa ni nomaa,hiki kikosi kinaitwa Mashetani wekundu yani baada ya Arsenal kurukaruka wakajikuta wanamalizwa kwa kupigwa bao 2-1 na mchezo ukaisha hivyo.Kama mtakumbuka vizuri mechi yao ya kwanza hawa Arsenal walipigwa bao 8 na hawahawa Machester United,ila leo wameonewa huruma kwa kupiwa dozi ya kiutu uzima 2 tu.
 
 
 From: Maganga one

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.