Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Thursday, January 19, 2012

SAFARI YA MWISHO YA MH.REGIA


 Mh Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwa ameketi wakati wa ibada ya maziko(jana) katika makaburi alikozikwa Mh.Regia Mtema.Katikati ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Nd.Joel Bendera na kushoto ni Mh.Freeman Mbowe
 Dk.Wilibrod Slaa akiwa makaburini kwa maziko
 Baba askofu Mhashamu Agapiti Ndorobo Wa jimbo katoliki la ulanga mahenge akiendesha ibada ya makaburini
 Nd.Estelatus Mtema baba wa Regia akiweka shada la maua kaburini
 Mama yake Regia pia akiweka shada la maua
 Mh.Rais akiweka shada la maua
 Dk.Slaa akiweka maua
 John Heche Mwenyekiti BAVICHA akiweka maua
 Kamanda Godbless Lema kwenye viwanja ilipofanyika ibada ya buriani akipeana pole na waombolezaji wengine
 Baadhi ya wana Chadema waliotoka Dar es salaam

              Baadhi ya wah.wabunge katika viwanja ilikofanyika ibada           
Viongozi walipokuwa katika ibada

 Mwili wa Mh.Regia ukiletwa kwa ajili ya ibada
 Mh.spika akisaini kitabu cha rambirambi
                                                              Katika ibada                   
                                                    Watawa na wananchi katika ibada

 Mvua kubwa ikinyesha wakati wa ibada na kuwafanya watu kutumia viti kama miavuli.ibada haikukatizwa na mvua hiyo
 Mvua ikinyesha

Wengine walijisitiri mvua chini ya migomba
Wapendwa wanakijiji,jana tuliahidi kuwarushia moja kwa moja tukio la maziko ya Mh Regia kutoka Ifakara kupitia kwa mdau wa mjengwablog aliyekuwa sehemu ya tukio.Tunasikitika na kuomba radhi kwa kutotimiza ahadi hiyo.Mdau wetu amesema alipata tatizo la komputa yake hivyo kushindwa kabisa kutuma picha alizopata.sasa tatizo limekwisha ametutumia picha nyingi zinazoonyesha matukio mengi ambayo hatujayaona bado katika taarifa zilizotangulia.Tumeona japo kwa kuchelewa tuziweke picha hizi ili wale ambao hawakuona jana au wameona sehemu ndogo tu ya tukio zima nao washiriki kwa namna yao kumuaga na kumuombea marehemu.Tunashukuru kwa kutuelewa.

Chanzo: Mjengwablog

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.