Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Thursday, January 19, 2012

MBUNGE WA ARUMERU JEREMIA SUMARI AMEFARIKI DUNIA


Mbunge wa Jimbo la Arumeru kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Jeremia Sumari, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hopitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa ugonjwa wa Kansa ya kichwa.
Taarifa kamili zitaendelea kutolewa.

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.