Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, January 15, 2012

Picha: Maombolezo ya Regia MtemaRais Kikwete akiambatana na baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kwenye maombolezo ya hayati mbunge Regina Mtema kwenye nyumba ya familia hiyo jijini Dar es Salaam

Mzee Estalus Mtema baba wa marehemu Regia Mtema (katikati)


Dk.Slaa akiwa maeneo ya nyumbani kwao Regia MtemaDk.Slaa akiongea na Mama yake na Zitto Shida Salum na Muhonga Ruhwanya


Waimbaji wa Karismatiki Katoliki wakiimba nyimbo za maombolezo


Chanzo: JF

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.