Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Tuesday, January 24, 2012

Kwa nini Nyerere alitoa Machozi Mwaka 1958...

Swali hili nimemwuliza Mama Mosi Tambwe aliyekuwepo kwenye mkutano wa Tabora mwaka 1958. Angalia jibu hapo chini.
Ni baada ya kuyasema haya. Tabora, Januari, mwaka 1958.
Kwa mujibu wa Mama Mosi Tambwe niliyeongea nae nyumbani kwake hapa Tabora jioni ya leo. Mosi Tambwe alipata kuwa kiongozi wa juu ndani ya TANU na CCM akianzia na Uenyekiti wa Tawi. Mwaka 1958 alikuwa TANU Bantu Group akiwa na miaka 18 tu.

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.