Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, January 18, 2012

REGIA MTEMA ALILIZA WENGI


Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe akimkumbatia pacha wa marehemu Regia, Kulwa Mtema katika zoezi la kuaga mwili wa pacha mwenzake Regia (DoTo).
Mbunge wa Chadema mkoani Mbeya Mh:Joseph Mbilinyi ama MR II mwenye suti nyeusi yenye mikono mifupi akitupia macho yake kwa huzuni akiuaga mwili wa hayati Regia Mtema.
WAZIRI wa habari utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi (mwenye miwani) aikuaga mwili wa mbunge wa Viti maalum (CHADEMA), Regia Mtema katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam jana.

Chanzo: Magangaone

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.