Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, January 22, 2012

Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Apokea Maandamano Makubwa Ya Wana CUF Pemba.


Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akipokea Maandamano ya wanachama CUF wakiunga mkono uamuzi wa Baraza Kuu la CUF Kuwavua wanachama Hamad Rashid pamoja na wenzake yaliyofanyika jana Gombani ya Kale Pemba.
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na waandamanaji waliofika kwa wingi kwenye Maandamano ya kuyaunga mkono Maamuzi ya Baraza Kuu la CUF.
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia baada ya kupokea Maandamano ya WanaCUF Pemba.
Wanachama wa CUF wakipita mbele ya Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif wakiwa na mabango yenye ujumbe wa Kuunga mkono maamuzi ya Baraza Kuu la CUF
Sehemu ya Umati Mkubwa Wa Wanacuf PembaWaliojiokeza kwenye kwenye Maandamani na Mkutano wa Hadhara.Picha zote na Bakari Mussa, Pemba
 
Source: Kapingaz

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.