Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Friday, February 17, 2012

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YA MUUNGANO YAKUTANA NA DK SHEIN,IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC) Jaji Damian Lubuva leo, Jaji Lubuva amiogoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikuku Mjini Zanzibar kuonana na Rais, (katikati) Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar,pia Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo Hamid Mahamoud Hamid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza Ujumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC)ukiongozwa na Jaji Damian Lubuva,(wa nne kushoto),walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. 
(Picha na Ramadhan Othman IKulu).

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.