Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, February 22, 2012

MWALIMU ENZI HIZOOO JIJINI AMSTERDAM Mdau wa Maganga One Blog ambaye ametuletea taswira ya Mwalimu Nyerere siku za nyuma alipobahatika kwenda nchini Holland.

Kumbe Mwalimu enzi zake alipendelea sana suala la utalii,moja ya mambo ya aliyoyapenda ni kutembezwa na kujua mambo.Ahsante sana mdau wetu wa Amsterdam kwa kutuletea taswira hii muhimu.

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.