Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, February 22, 2012

MBUNGE MSINGWA AIIMARISHA CHADEMA-IRINGA


 
akifungua tawi la kihesa.
Msigwa akiwahutubia wakazi wa kihesa maeneo ya semtema jana jioni
 
akina mama wakipanga foleni kuchukua kadi za chadema

sehemu ya umati ukimsikilza Msigwa kwa umakiniMsigwa akisalimiana na akina mama ambao ni wanachama wapya.

Katika mkutano huu Msigwa amewahimiza kuwa chama kitajengwa na wanachama, na kuwasihi wanachi kupuuza propaganda za CCM dhidi yake na chama chake, mikutano yake inaendelea tena kesho kata ya Ruaha. Katika mkutano huo alivuna wanachama wapya 78, kama wanavyoonekana katika picha hapo juu.


HAPA YUPO MAKAMBAKO AKIENDELEZA MAPAMBANO


Akiongea na wanachama katika ukumbi wa RC makambako.
 
jamiiforums.com

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.