Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, February 22, 2012

Maulidi Kisiwa Cha Tumbatu

 Rais wa Zanzibar Dk, Ali Mohd Shein akisalimiana na Masheikh na waheshimiwa mbalimbali alipohudhuria katika Kisiwa cha Tumbatu  Zanzibar kwa ajili ya kuzindua Maulidi makubwa ya Kusherehekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW).
 -Rais wa Zainzibar Dk Ali Mohd Shein watatu kutoka kushoto akiwa pamoja na Masheikh na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Uzinduzi wa Maulid makubwa ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.
 

 Sheikh Othman Maalim akitoa mawaidha katika Uzinduzi wa Maulid makubwa ya kusherekea kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW)katika kisiwa cha Tumbatu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiwahutubia Waislamu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Msikiti mkuu wa Tumbatu Zanzibar  alipozinduwa Maulidi makubwa yanayofanyika kila mwaka kisiwani humo.
 
PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR. 

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.