Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Wednesday, February 22, 2012

NHIF Wasaidia Wajawazito Tanga

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF bwn. Imanuel Humba, kushoto ni Mwakilishi wa kfw,
Dk Kai Gesing kabla ya uzinduzi wa mradi huo, ambao huko chini ya usimamizi wa NHIF kwa Mikoa ya Tanga na Mbeya kwa majaribio.
 Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi  wa kuwasaidia kupata huduma bora kwa hakina mama wajawazito  na watoto walio chini ya umri wa miaka 5,hususani maeneo ya vijijini.
 .Pichani mmoja wa wanufaika wa mradi KfW akipokea kitambulisho cha kupata huduma za afya kwa niaba ya wenzake 600 kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Bi Chiku Galawa,wanaoshuhudia pemben kulia ni Mkurugenzi mkuu wa NHIF bwn Imanuel Humba na Dr. Sweya ambaye ni meneja wa Mradi kutoka NHIF.
 Naibu Mkurugenzi Mkuu bwn. Hamis Mdee akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu kuhusu namna ambavyo mradi huo unavyotekelezeka kwa kasi Mkoani Tanga kabla ya kuanza kwa mkutano wa uzinduzi.
akina mama wajawazito waliowawakilisha wenzao 600 wakati wa kupokea vitambulisho vya huduma za afya wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafadhili wa mradi (kfW)  na NHIF.
Na Grace Michael

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.