Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Monday, February 13, 2012

JK AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMAMwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mh Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama kabla ya kuanza kwa mkutano wa Halmashauri Kuu leo katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma leo February 12, 2012Picha nyingine ni Sehemu ya wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM katika mkutano huo


SOURCE: Lukwangule entertainment

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.