Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Thursday, February 16, 2012

Dkt. Bilal Atembelea Mradi Wa Utafiti wa Uranium



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, 
akisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Usalama Kazini, Nassor Abdallah, kuhusu vifaa vya
usalama kazini vinavyotumika na wafanyakazi wa migodini wanapokuwa kazini, wakati Makamu
akiwa kazitika ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto
Mkuju unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Mantra Tanzania.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu. 
 
 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammeed Gharib Bilal,
akipokea zawadi ya Mbuzi kutoka kwa Wzee wa Kijiji cha Likuyu Sekamaganga, baada a kumaliza mkutano wa hadhara wakatia akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa ruvuma jana Februari 15, 2012. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mjiologia Mkuu wa Kampuni ya Mantra Tanzania, Emmanuel
Nyamusika kuhusu utafiti wa upatikanaji wa madini ya Urani, wakati Makamu akiwa kazitika
ziara yake ya Mkoa wa Ruvuma jana Februari 15, alipotembelea mradi wa Mto Mkuju
unaojiandaa na uchimbaji wa madini ya Urani kupitia kampuni yake ya Mantra Tanzania. Picha

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.