Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Friday, March 2, 2012

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru akutana na wahariri.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (kulia) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akitoa akizungumza na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla aliyowaandalia katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale (katikati) akisalimiana na baadhi ya wahariri kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mmoja wa wahariri kutoka Gazeti la Daily News, Masato Masato akiuliza swali katika hafla iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Lawrence Mafuru (hayupo pichani) kwa wahariri wakuu na wa habari za biashara na uchumi katika Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru wa pili kutoka kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzake kutoka benki hiyo kulia ni Eddie Mhina mshauri wa masuala ya habari NBC na kushoto ni Allen na wa pili kutoka kulia ni Albert.
Wadau wa kutoka NBC wakipozi kwa picha mara baada ya kumaliza kazi yao katika hafla ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo na waharir wa vyombo vya habari jana.
Meneja Udhamini na Matukio wa NBC, Bi. Rachel Remona Kimambo kulia akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale katikati pamoja na Albert mfanyakzi wa benki ya NBC kushoto.

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.