Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Friday, March 2, 2012

HARAKATI ZA WABONGO KUANDAA MOVIE

VIFAA VIPYA VYA RJ VYAANZA KUFANYA KAZI

 Kama kawaida wadau nilisema kuwa mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko kwa kampuni yako ya RJ company, Tutafanya mambo makubwa katika tasnia yetu ya filamu nilisafiri na kushuka na vifaa vya nguvu hapa ni kazi mambo mengine no watu watasema kwa kazi tu, wadau tegemeeni mambo mapya katika mzigo huu mpya unaopikwa na vijana wako wanaofanya kazi kwa kujituma.
 Hii ni Crane. hiki kifaa kinatumika mara nyingi kwa scene za nje na za ndani mtaona wenyewe tofauti kubwa wala nisiseme mengi
 Cheki mwenyewe mimi sisemi


 Mambo yakiendelea ,,,,,,,,

 Camera ikiwa juu kabisa ili kupata shorts nzuri

 Mambo mengine haya jamani hili ni Dolly mara nyingi utumiwa katika shorts za kutembea na kuleta radha tofauti kabisa

 Vijana kazini

 Hii ni monitor kwa ajili ya kuhakiki picha kama iko sawa mara nyingi utumia kwa nje ndani huwa natumia tv

 ON SET

 Haya kazi nyingine hiyo mimi ufanyaga vitu kwa vitendo na sio maneno hiki kifaa kinaitwa Steady Cam matumizi yake katika scene za kutembea barabarani, kukimbia na mambo mengineyo mengi

 Cheki watu wailvyokuwa makini

 Mambo hayo

 Baba na Mwana, humu ndani ni hatari sana

 Hatari sana

RESPECT OF NYERERE

 Kijana mdogo anayekuja kwa kasi katika tasinia ya filamu nchini Tanzania 
Steven Mengere(Nyerere).
Hanakuja na mzigo mpya unaoitwa Respect Of Nyerere ni story inayozungumzia maisha ya mwalimu Nyerere na hapa wakiwa na mama Maria Nyerere wakipata mawaidha kabla ya kuanza shooting uko Butihama
 Wakiendelea kupata mawili machache yaliyokuwa yakifanywa na Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake.

 Picha ya kumbukumbu pamoja na mama Maria Nyerere.

 Hapa wakiwa katika kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

 Kazi imeanza!

 Cheki mwenyewe kijana alivyokuwa na njaa pamoja na shida


 Rechel na Davina kulia

 Vijana wakiwa kazini kuhakikisha kuwa hawakosei wanachokifanya maana mtu wanaomcheza alikuwa ni mtu mkubwa sana kataka nchi hii

 Nyerere akiwa na Ally Yakuti mwandishi mkubwa script hapa nchini Tanzania
 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa na waanndishi wa habari shambani kwake


 Mainda pamoja na Saguda Gorge, hawa ndio maproduction manager wa kampuni ya Nyerere the Power
 Hapa Mwalimu Nyerere akiwa anacheza bao, Wadau hii ni sehemu kubwa ya Baba wa Taifa alipokuwa akichezea bao

 Mainda akiwa kazini kama kawaida yake uwa hafanyi makosa akiwa kazini

 Steve Nyerere katika pozi

 Ally Yakuti

 On Set

 Mambo yakipamba moto

Hatariiiiiiiiii vijana wana njaa sana cheki huyo mwandishi wa habari bwana Juma Chikoka akifanya vitu vyake
 
Chanzo: http://raythegreatest.blogspot.com/
 

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.