Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Monday, December 12, 2011

JK Alipotembelea Maonyesho Ya Miaka 50 Ya Uhuru Dar

Rais Kikwete akisaini kitabu cha wageni banda la Benki Kuu
Rais kikwete akitembelea bustani ya wanyama pori katika banda la Wizara ya Maliasili na utalii
 Rais Kikwete akipata maelezo ya mashine ya kisasa ya kufyatulia matofali kwenye banda la JWTZ
Rais Kikwete akiangalia gramophone ya 'His Masters Voice' katika banda la Wilaya  ya Moshi
Rais Kikwete akiangalia bonge la boga


Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Versity Secondary School juu ya maabada ya sayansi.
Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.