Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Sunday, November 6, 2011

Kamanda Lema kutoka selo JumatatuLeo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana viwanja vya NMC,ili kuwaeleza wananchi sakata zima la kugomea dhamana

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.