23 Septemba, 2013 - Saa 09:19 GMT
Majaji katika mahakama ya
kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC wameahirisha kesi ya naibu Rais
wa kenya William Ruto kwa juma moja ili kumpa mda kurejea nyumbani
kushughulikia hali ya kiusalama inayokumba taifa hilo.
Watu wanoaminika kuwa magaidi wa Al Shabaab
wameteka jumba la kifahari lenya maduka la Westgate jijini Nairobi na
kuwazuilia mateka wakenya kadhaa.
No comments:
Post a Comment
Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.