Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Monday, February 20, 2012

Dkt. Bilal Akutana Na Mtafiti Wa Sokwe


                                                                                                 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal,
akielekezwa na mtafiti bingwa Duniani wa Masokwe, Jane Goodall, kuhusu ishara anazozitumia
kuwasiliana na Masokwe na jinsi ya kuzungumza nao, wakati alipofika Ikulu ndogo ya Wilaya
ya Mpanda mkoa wa Katavi jana Februari 18, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 
Mjengwablog

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.