Blog yenu ya wananchi yenye habari motomoto za kijamii, Blog yenye kuelimisha, kuburudisha na kufurahisha. Wapenzi na wasomaji wetu tunaomba ushirikiano wenu ili kuendeleza Blog yetu, kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko ya kweli.

Monday, February 20, 2012

MWANRI AKABIDHI RIPOTI YA ZIARA YAKE KWA RC IRINGA

Naibu waziri wa TAMISEMI Agrrey Mwanri (katikati) akikabidhi ripoti yake kwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christina Ishengoma kushoto na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Deo sanga kulia akishuhudia
RC Iringa akimkabidhi nakala ya ripoti ya Mwanri mkurugenzi wa Makete Imelda
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akipokea ripoti ya Mwanri kwa mkuu wa mkoa wa Iringa kushoto
Mkuu wa wilaya ya Mufindi Evarista Kalalu Kulia akipokea ripoti hiyo ambayo inaonyesha wilaya yake ya Mufindi imefanya vizuri sana
DC Iringa Aseri Msangi akipokea ripoti kwa niaba ya wilaya ya Kilolo ambako Mhandisi wake amekalia kuti kavu
mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa kulia akiwa na mwanahabari Mshana katika kikao cha majumuisho ya Ziara ya Mwanri mkoani Iringa

 
Add caption
    
        

No comments:

Post a Comment

Msomaji wetu hakikisha unaheshimu mila na tamaduni za mwafrika,lugha zenye utata au kumkashifu mtu haitapendeza kuonekana kwenye post.Kumbuka vigezo na masharti ya comments kuzingatiwa.Asanteni sana kwa kuwa nasi kwenye blog yenu.